US President Barack Obama amepata account yake binafsi ya twitter na White House wamethibitisha hili. Jina la twitter la rais Obama ni @POTUS (President Of The United States) na ndani ya saa 24 account hii imepata watu 100,000.
Twit yake ya kwanza ilikuwa hii “Hello, Twitter! It’s Barack. Really! Six years in, they’re finally giving me my own account”
Kurasa yake iliyoendeshwa na Organizing for Action staff, ilikuwa na watu milioni 59.3.
Kwa sasa President Obama anawafuata watu 65 ambao ni Bill Clinton, George W Bush na @FLOTUS ambaye ni mke wake ila hajaanza kumfuata Hillary Clinton, George W Bush au waziri mkuu wa Uingereza David Cameron.
No comments:
Post a Comment