Majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 yametangazwa jana June 11, ambapo Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ni miongoni mwa wasanii waliotajwa kuwania tuzo hizo zitakazotolewa jijini Durban Afrika Kusini
.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitatu ambavyo ni BEST MALE, BEST LIVE ACT, BEST COLLABORATION huku Vanessa Mdee akiwania kipengele cha BEST FEMALE.
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi July 18, jijini Durban Afrika Kusini.Hapa
nimekuwekea orodha kamili ya wasanii watakaowania tuzo hizo za MTV Africa Music Awards 2015.
BEST MALE
Diamond Platnumz (Tanzania)
Wizkid (Nigeria)
Davido (Nigeria)
AKA (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
BEST FEMALE
Vanessa Mdee (Tanzania)
Busiswa (South Africa)
Yemi Alade (Nigeria)
Seyi Shay (Nigeria)
Bucie (South Africa)
BEST GROUP
B4 (Angola)
Beatenberg (South Africa)
Black Motion (South Africa)
P- Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)
BEST NEW ACT TRANSFORMED BY ABSOLUT
Patoranking (Nigeria)
Stonebwoy (Ghana)
Cassper Nyovest (South Africa)
Duncan (South Africa)
Anna Joyce (Angola)
BEST LIVE ACT
Micasa
Big Nuz
Diamond Platnumz (Tanzania)
Flavour
Toofan
BEST COLLABORATION
Diamond ft Iyanya- Bum Bum ( Tanzania/Nigeria)
Toofan ft Dj Arafat – Apero Remix (Togo/Ivory Coast)
AKA ft Burna Boy, Da L.E.S – All Eyes on me (S.A/Nigeria)
Davido ft Uhuru, Dj Buckz -The Sound ( Nigeria/South Africa)
BEST HIP HOP
Youssoupha (DRC)
AKA (South Africa)
K.O (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Phyno (Nigeria)
Cassper Nyvost (South Africa)
BEST ALTERNATIVE /POP
Jimmy Nevis
Fuse ODG
Prime Circle
Jeremy Loops
Nneka
BEST FRANCOPHONE
Dj Araphat ( Ivory Coast)
Jovi (Cameroon)
Toofan (Togo)
Tour 2 Garde (Ivory Coast)
Laurette Le Pearle (DRC)
BEST LUSOPHONE
Ary (Angola
Nelson Freitas (Cape Verde)
B4 (Angola)
NGA (Angola)
Yuri Da Cunha (Angola)
BEST SONG
Cassper Nyovest – “Doc Shebeleza”
DJ Fisherman & Naak MusiQ ft. Dream Team, DJ SK, Danger & DJ Tira – “Call Out”
Euphonik ft. Bob Ezy & Mpumi – “Busa”
K.O ft. Kid X – “Caracara”
Lil Kesh ft. Davido & Olamide – “Shoki Remix”
Mavins – “Dorobucci”
Sauti Sol – “Sura Yako”
Toofan – “Gweta”
Wizkid – “Show You The Money”
Yemi Alade – “Johnny”
VIDEO OF THE YEAR
Bebe Cool – Love You Everyday
Davido Ft Uhuru & DJ Buckz – The Sound
Prime Circle – Doors
Riky Rick – Nafukwa
Seyi Shay Ft Wizkid – Crazy
PERSONALITY OF THE YEAR
Basketmouth (Nigeria)
Bonang Matheba (South Africa)
OC Ukeje (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Yaya Toure (Ivory Coast
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment