10 June, 2015

Binamu wa Jay Z apondwa baada ya Davido kufanya collabo na Meek Mil, sababu iko hapa

 davido
Binamu wa karibu wa msanii Jay Z ‘Brian Biggs aka “Bee-High‘ ameumbuka na kupondwa mtandaoni baada ya Mnigeria Davido kufanya collabo na Meek Mil, Binamu huyu anayefanya kazi kama mtafuta vipaji wa Roc Nation na Tidal ya Jay Z alitumwa Nigeria mwaka
huu kutafuta vipaji na kurudi akiwa na jibu kuwa hakuna vipaji binavyoweza kufanya kazi na Roc Nation nchini Nigeria,
Mashabiki wameshangazwa na msanii Davido wa Nigeria kufanya video kali na Meek Mil bila kuwa na record lebel Marekani na kusema ndio vijana waliofaa kuwekwa Roc Nation.
Wachambuzi wa video Marekani wamesema video ya Davido “Fans Mi ft Meek Mil ni bora kuliko video ya Meek Mil ya wimbo wake “B Boy,”.Ice Prince Na JayZ walikutanishwa na Bee High ingawa bado hajapewa lebel Roc NationIce Prince Na JayZ walikutanishwa na Bee High ingawa bado hajapewa lebel Roc Nationchocolate-city-brianWasanii wa Chocolate City M.I, Ice Prince walivyokutana na Binamu wa Jay-Z, Brian Biggs aka “Bee-High” kuongelea muziki na wasanii wapya Nigeria. jay z


No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...