
Chris Brown haonekani kuwa kwenye hali nzuri kwa sasa, Mbali na furaha
inayo onyeshwa kusababishwa na mtoto wake Royality bado ameonekana
kwenye maumivu ya kumkosa Karrueche aliyekuwa mpenzi wake kabla ya
kujulikana kuwa ana mtoto kwa msichana mwingine.

Japokuwa Chris anazidi kuhit kwenye mitandao ya kijamii sio kwa ngoma
yake mpya bali pia kwa picha aliyo ifanyia 'photoshopped' ambayo
anaonekana akiwa kajiweka kama 2Pac kwenye gari ambalo rapper huyo
alikuwa masaa machache kabla ya kupigwa risasi.

Hataivyo sio mara ya kwanza kwa Chris Brown ku post kitu kama hicho,
Miaka mitatu iliyopita Breezy alipost picha ikimuonyesha kalala karibu
na sport car yake na kuipa caption isemayo 'ROAD KILL!'.
No comments:
Post a Comment