08 June, 2015

Tabia 10 zinazoharibu ubongo


Je wafahamu tabia zinazoweza kuharibu ubongo wako?

Kati ya tabia ambazo unatakiwa kuacha ili kuwa makini na afya njema kiakili ni hizi hapa:
  • Kutopata kifungua kinywa
  • Kula kupita kiasi
  • Kuvuta sigara
  • Kula sukari nyingi
  • Kukaa sehemu yenye hewa chafu
  • Kutolala vizuri
  • Kuziba pua wakati wa kulala (Kutopata hewa safi)
  • Kufanya kazi wakati wa malazi
  • Kutokuwa na fikra chanya
  • Kutoongea kwa muda mrefu

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...