Drama za Chris Brown na X wake Karrueche Tran zimeendelea baada ya wawili hawa kujikuta wamekaa kwenye meza jirani kwenye club kubwa ya Playhouse huko Hollywood na wote kuamua kuodoka kwa wakati mmoja kuepuka ugomvi.
Kwa mujibu wa TMZ, Chris alijikuta kwenye eneo la VIP Na X Wa Karrueche kitu ambacho hakikupangwa na wote wawili bali club hio.
Baada ya Karrueche kuona hali hio aliamka na kutoka nje huku Chris Brown akimfata mpaka kulazimisha kuingia kwenye gari yake.
Hii ndio video yenyewe.
No comments:
Post a Comment