13 June, 2015

Tyga afumaniwa akinunua Bugatti na mwanamke mwingine,sio Kylie Jenner.

t4
Rapa Tyga amefumaniwa akijaribisha gari la Kifahari aina ya Bugatti kabla hajalinunua akiwa na mwanamke mwingine kwenye gari hio na sio mpenzi wake ambaye ni Kylie Jenner.Tyga alikuwa na mpango wa kununua gari hilo lenye thamani ya dola milioni
  $1.5 ila baad aya kulijaribisha alirudi kwenye Range Rover yake na kuondoka.t1t2t3

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...