Licha ya kuchukua ubingwa wa UEFA lakini
bado thamani ya brand yake sio kubwa zaidi ya club tano juu yake.
Barcelona imechukua UEFA lakini kwenye list ya biggest brands in
football.
Kwa mara ya kwanza Manchester united
imevunja rekodi kwa kufikisha brand value ya
zaidi ya $1 billion na
kuziacha brand nyingine zaidi ya dola millioni 300.
Namba mbili inakamatwa na wakali wa
Bundasliga Bayern Munich kwa kuwa na thamani ya dola millioni 933 ambapo
mwaka jana ilikua ni namba moja. Namba mbili imeenda kwa Real Madrid
kwa kuwa na thamani ya dola millioni 873.
Vitu vya kuzingatia ni kwamba kwenye top
10 kuna brand 6 kutoka EPL ambazo ni Manchester united, Manchester
city,Chelsea,Arsenal,Liverpool na Tottenham.
Licha ya Juventus kucheza fainali ya UEFA lakini kwene brand value hata top 10 haipo kwasababu imeshika namba 11.
List kamili hii hapa
No comments:
Post a Comment