31 May, 2015

Flaviana Matata kwenye tangazo jingine tena New York Marekani.

123Ni Watanzania wengi sasa hivi yanatambua uwepo wa Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye anaishi na kufanya kazi New York Marekani na amekua akiiwakilisha nchi yake vizuri tu pamoja na kuikumbuka kwa kusaidia kulipa ada za Wasichana wasiokua na
uwezo.FullSizeRenderGood news ya leo ni Mwanamitindo huyu kuendelea kushine kwenye matangazo ya kibiashara na time hii kafanya hili tangazo la mavazi ya majira ya joto na kafanya na New York and Company.IMG_6387IMG_6388IMG_6389

Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...