01 June, 2015

Kanye West atarajia kupata mtoto wa pili baada ya ujauzito wa mke wake Kim Kardashian

Rapper Kanye West (37) na mke wake Kim Kardashian (34) wanatarajia kupata mtoto wa pili.
Baada ya majaribio ya miezi kadhaa ya kushika ujauzito wa pili, Kim ameweka wazi kuwa ni mja mzito kupitia reality show ya Keeping Up With The Kardashians alipomueleza mdogo wake Khloe Kardashian juu
ya majibu ya vipimo alivyofanya.
“I just got the blood test back and I am pregnant!” alisema Kim.
Kim na Kanye walipata mtoto wao wa kwanza wa kike North West June 15, 2013.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...