
Hata hatujaisahau Fast and Furious 7, tumeletewa habari kwamba
mwendelezo unaendelea wa mfululizo wa movie hizo kwenye sehemu ya 8
ambapo Fast 8 inatarajiwa kutoka April mwaka 2017.

Vin Diesel ameandika "
It has already been confirmed that Dwayne “The
Rock” Johnson will reprise his role as Luke Hobbs in the ‘Furious 7’
sequel and James Wan is reportedly eyed to return as director for the
eighth instalment of the movie franchise."
No comments:
Post a Comment