04 June, 2015

Raheem Sterling kwa upande wa wachezaji wa EPL ndio hot cake kwenye usajili.

st
Raheem Sterling kwa upande wa wachezaji wa EPL ndio hot cake kwenye usajili. Habari zilipanda sana baada ya kukataa mkataba wa Pound laki moja kila wiki kutoka kwa Liverpool.
Sterling mwenye miaka 20 amepata ofa nyingi kutoka kwa karibia timu zote kubwa Ulaya na hivi sasa
Manchester wameingia kwenye mbio za kumpata Sterling. Dau walilotangaza Man united ni £25 million. Lakini hadi sasa Sterling hajatoa majibu yoyote kwa club yoyote.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...