02 June, 2015

Video ya collabo ya Iyanya na Diamond Platnumz

Diamond
Ni Hit baada ya Hit.. Jina la staa anayeiwakilisha poa TZ kwenye muziki Afrika na nje ya mipaka limerudi tena kwenye Headlines.. Diamond aliwahi kusema kwamba hii collabo yake na Iyanya ni ya muda mrefu sana, lakini baadae ikavuja audio.. baadae tukaona pichaz za behind the scenes, na
sasa mzigo uko hewani tayari.
‘Nana’ ya Diamond haijamaliza hata wiki moja tangu imeachiwa na imeonesha dalili zote za kufanya poa.. Tayari Iyanya nae kaona aiachie rasmi kabisa, ‘Nakupenda‘ ambayo Diamond kapewa collabo kwenye hii.
Play hapa uicheki hapa mtu wa nguvu kazi hii mpya… Iyanya Feat. Diamond Platnumz‘Nakupenda’


Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...