Shabiki anayejulikana kwa jina Claire amepata nafasi ya kukutana na mtu aliyeokoa maisha yake ‘Kendrick Lamar’baada ya kuhudhuria show yake. Kendrick alimuona dada huyu analia sana huku akisema maneno ‘You Saved My Life’na kuamua kumpandisha jukwaani ndio alipotoa stori yake.
Kendrick alifanya wimbo wa ‘I’kwaajili ya vijana walioko jela na watu waliosema muziki wake umewafanya wapende kuishi zaidi.
Claire ’16’ aliugua msongo wa mawazo na muziki wa Kendrick Lamar ulimuokoa, angejiua mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment