Bang ni miongoni mwa Majarida ya Tanzania
ambayo yamekuwepo kwenye headlines kwa muda mrefu ambapo time hii kuna
toleo jipya ambalo Waziri wa mali asili Lazaro Nyalandu na mke wake ndio
wamecover.
Humo ndani wanazungumzia maisha yao, pia
Waziri anazungumzia ishu yake ya kuutaka Urais wa Tanzania,
amewazungumzia vijana wa Tanzania na mengine mengi hivyo ukiipata nakala
yako utakutana pia na wengine akiwemo mtangazaji Sporah.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment