05 June, 2015

Ajax wametoa video inayoonesha ufundi wa mchezaji wao wa zamani, Luis Suarez wakati wanajadili mechi ya fainali ya kesho ya Uefa Champions League.

CGmexLGVIAEDrNRTimu hiyo ya Uholanzi imepata video ya kumbukumbu ya nyota huyo wa Barcelona ambaye aliwahi kucheza Amsterdam Arena. Video hiyo inaonesha ufundi wa Suarez wa kuchezea mpira kipindi hicho akiwa Uholanzi.

Luis Suarez anatarajia kuicheza fainali ya Uefa kesho dhidi Juventus kwenye uwanja wa Olympiastadion, mjini Berlin. PLAY HAPA>>>>>>

Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...