02 June, 2015

Baba yake Kim kardashian Bruce Jenner sasa ajiita Caytlin


Mnamo mwezi Aprili Bruce Jenner alijibadilisha maumbile katika mahojiano na Diane Sawyer wa ABC.Mnamo mwezi Mei Jenner mwenye umri wa miaka 65 alijadiliana na familia yake kuhusu hatua yake ya kujibadili maumbile katika kipindi cha ''keeping up with the Kardashians''.

Sasa Jenner yuko tayari kujitangaza kama Caitlyn kwa ulimwengu.
Katika picha iliopgwa na Annie Leibovitz,picha ya mwanariadha huyo wa zamani ilichapishwa katika jarida la Vanity na ndani ya gazeti hilo ,jenner anaweka wazi maumbile yake mapya.
Baada ya kupata wafuasi zaidi ya milioni moja kwa mda wa saa nne ,Caitlyn Jenner amevunja rekodi ya mtandao wa twitter kulingana na rekodi za dunia za Guiness.Amemshinda Barrack Obama aliyeshikilia taji hilo kwa wiki mbili.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...