Tetesi zimezidi kusambaa weekend ya mwisho wa mwezi May kuwa Nicki Minaj na Meek Mill wameachana, Kumekuwa na post chache kwenye acount zao za Gram ambazo zimeleta mtazamo kwa kila mmoja aliye ziona kutokana na caption walizo andika nakusabaisha kukuza tetesi hizo.
Bano ni tetesi hakuna upende wowote ulio thibitisha, Ila tizam avideo hii hapa chini kwa ikifafanua zaidi.
No comments:
Post a Comment