03 June, 2015

Takwimu mpya zimetoka zikionyesha club gani imeingiza kiasi gani kwa msimu uliopita wa 2014/2015

DXB2
Takwimu mpya zimetoka zikionyesha club gani imeingiza  kiasi gani kwa msimu uliopita  wa2014/2015.Mpangilio wa table ya ligi haujalishi kwenye swala la kuingiza pesa nyingi. Mfano Manchester united kwenye ligi imekua ya nne lakini kwneye listi ya kuingiza pesa nyingi imekua ya tatu. Liverpool kwenye ligi imekua ya
sita lakini kwenye msimamo wa kuingiza pesa imekua ya tano.
Pesa hizi zimetokana haki ya matangazo kwenye TV mbalimbali, Chelsea imeongoza na kuweka rekodi ya £98,999,554.dxb

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...