03 May, 2016

Laptop 5 Ghali kuliko lap-top zote ulimwenguni.

Tumekuwa tukiona vitu vya thamani kuliko vyote ulimwenguni mfano Magari, Nyumba na hata Ndege lakini ni vigumu kwa wewe kuamini kua unaweza kununua Kitu kidogo kama Laptop ama hata simu ya mkononi kwa bei ambayo ni sawa na Bajeti ya nchi fulani (ha ha haa mambo mengine bhana!). Kama tunavyo jua katika Ulimwengu wa leo Technology imekua ndio kila kitu katika masha yetu...
Kinapo tajwa kifaa "COMPUTER"  basi unakua unazungumzia uhalisia wa neno Technology, haijalishi ni Desk-top ama Laptop lakini picha kamili ya neno techology ina patikana hapo.

Tumezoe kuona laptop kutoka katika kampuni ya Apple zikiwa zinauzwa kwa bei ghali sehemu yeyote ulimwenguni lakini kumbe kuna laptop ghali zaidi kuliko Apple na laptop hizo ni kama ifuatavyo:-

1. Luvaglio One Million Dollar Laptop: $1,000,000
 The million dollar laptop produced by the London-based luxury manufacturer, Luvaglio, is officially known as the most expensive laptop money can buy

Well, here it is,, Bila shaka wala pingamizi lolote hii ndio laptop ghali kuliko zote ulimwenguni.. Kampuni ya Luvaglio imekua ikifanya kazi na wataalamu wenye haiba ya hali ya juu mno katika teknolojia ili kutengeneza vitu adimu kama hivi. Bei ya hii laptop ndio Top ulimwenguni.. ukitaka kuinunua hii kitu lazima uwe una mzigo wa maana Bank. Kampuni hii huwa inakupa muda waku-oder online. . unapewa chance yakuchagua Materials utakazo zitumike kuitengeneza laptop hizo ikiwa material hizo ni kama vile Dhahabu, Almasi na madini mengine utakayo taka Oder yako iwe nazo. Lap-top hii haiuzwi kirahisi kama unavyo dhani maana kabla yaku-inunua ni lazima kampuni hiyo ikuchunguze utajiri ulio nao kwanza ndio ikubali ombi lako.

 Beauty is, this laptop neither has the uniqueness in technology nor in its spec. I can hear your question now. What the hell make it so expensive? The thing is that “You won’t have any buttons here”. You will only see genuine diamond pieces in place of every key. So this diamond encrust and bare hand manufacturing are certain things that make it to stand out from the rest

 2. Tulip E-Go Diamond: $350,000
 most expensive laptop in the world

Tulip E-Go Diamond Notebook ni laptop nyingine inayo fuatia kwa kuuzwa ghali ulimwenguni na kwa kua ni ghali basi matajiri tuu ndio watakua na uwezo wa kuimiliki. Labda ni kwa nn laptop hii inauzwa ghali kuliko? well ni kwamba laptop hii imetengenezwa kwa madini ya Almasi , Dhahabu na madini ya chuma, Hivyo Utaona laptop hii ni ya Ufahari kiasi gani.his laptop is equipped with a 12-antiglare display screen, 160 GB of Hard disk, 2 GB of RAM, DVD burner, Integrated Webcam and Bluetooth 2.0. This notebook is famous for its design instead of its configuration. White gold & diamonds are used to design this notebook.
Unaona mwenyewe ni namna ghani hii kitu ni kwa ajili ya matajiri tuu( ha ha haa hivi kwa nini masikini tuna nyanyasika hivi lakini?)

3. MacBook Pro 24Karat Gold: $30,000
 goldlaptop1

Ni wazi kwamba bidhaa za kampuni ya Apple ni ghali mno kiasi kwamba bidhaa zao huonekana ni bidhaa za anasa. Hii ndio bidhaa ghali kuwahi kutolewa na Apple kwa muda wote. Ni mwendo wa dhahabu tuu hapa. Ukubwa wake ni 256GB SSD, Custom matte screen and 8 GB RAM. Haya wale wa anasa za ulimwengu hii inakuhusu pia ila kumbuka bro wako hapa nalala na njaa! 

No 3 : Ego for Bentley $20,000
 most expensive laptop in the world
 
This laptop is produced by the super luxury car brand Bentley. Ego for Bentley is integrated with twelve fanatical direct access keys to support Webcam, Wi-Fi, Bluetooth, Media Centre and other applications. This luxurious product is well known for its amazing display, storage capacity and high performance.
  
5. VoodooEnvy 171: $6,500
 voodoopc_envy_h171_2

VoodooEnvy H171 nayo hajakosekana kwenye list yangu... laptop hii ina ukubwa wa 17 inch screen na Camera ya 1.3 mpx 4 GB RAM na hard-disk yake ni dual.this laptop has a pretty look and it comes in more than 24 different designs.

Haya umejionea wewe mwenyewe ni kwa namna gani Mambo yalivyo.. Vipi kuna hata moja una weza kutungua? mmmh utaua Uchumi wa nchi.

PITIA NA HIZI PIA!
 >> Mambo 8 unayopaswa kufahamu juu ya Ujio mpya wa iPhone 7 
>>  Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo 
>>  Huyu ndiye Gerald Levert 
>>   Mfahamu Steve Jobs mwanzilishi wa kampuni ya Apple




Jiunge leo na watu 3000 walio chagua kujiunga na MTOKAMBALI ili kupata Makala zetu kila zinapo chapishwa Hapa Mtokambali Moja kwa moja kwenye simu yako kila ifikapo Week-End BURE!

* indicates required

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...