Yafuatayo ni mambo 6 yatakayo ifanya Tecno C9 kuwa yakipekee kuliko smartphone nyingine na kuleta mapinduzi....
1. Security(ulinzi).
Kama tunavyo fahamu kwamba kuna njia nyingi za ku-lock simu zetu mfano, kuweka Pattern, PIN, voice locks, signature lock, finger print njia ambazo zimeonekana za kawaida sana. Ila safari hii Tecno C9 itakuja na teknologia tofauti kabisa, njia ambayo itazidi kuifanya simu yako kuwa safe muda wote, Teknolojia hii inajulikana kama Eyeball unlock... yaani utatumia mboni zako kama security ya simu yako.
“C9 is equipped with the latest eyeball recognition technology. It has been tested thousands of times without a recognition error,” Mtu mmoja kutoka Tecno alisema.Utatumia Mboni zako ku-unlock simu yako wakati ukiwa macho na hakuna mtu yeyote atakaye weza kuingia katika simu yako pindi ukiwa umelala ama ukiwa mbali na simu yako.
2. T-Band bracelet
Tecno C9 itakuja na bangili (T-Band bracelet) ambayo itakayo weza ku-control canera ya simu yako ukiwa katika umbali wa mita 10. Ukiwa na hii huna haja ya kukosa kutwanga Photo....The T-Band also has a pedometer that counts each step you make. It has a sleep monitor, sedentary and call reminder as well (Maajabu haya).
T-Bracelet itakusaidia kutafuta simu yako pale ambapo utakuwa umesahau ulipo iweka simu yako. Yaan utabonyeza Main Botton iliyoko kwenye Bracelet kwa muda wa sekunde tatu na simu yako ita-Vibrate na kuita kokote kule iliko.
3. Selfie width Hakuna tena haja ya kujikusanya kwa karibu ili muweze kuenea katika selfie. Tecno C9 inakunja na 83° wide angle front camera lens ambayo itakupa nafasi ya Kupiga zile seflie zenye Ukubwa. With Tecno C9, you can as well switch to the 120° Panorama Selfie mode to enhance the angle even wider.
4. The straight selfies
Tofauti na smartphone nyingine maarufu ulimwenguni kama Vile iPhone 6, , Samsung S6 Edge na simu nyingine zenye front Camera inayo kaa kwa pembeni(Mbele), Tecno C9 inakuja na front Camera iliyowekwa kati kati.(Tizama picha hiyo hapo juu). Hivyo kwa tafsiri hiyo ni kwamba utaweza kupiga selfie ya sraight. With the front camera located on the right or left of the screen, it is usually next to impossible to take a selfie looking straight. The subjects always appear as if they are looking away.
5. Night mode.
Tecno C9’s rear camera has a higher light intake ratio in low light conditions compared to iPhone 6 Plus. This makes Tecno C9’s images are 15% brighter.
In addition to the F/2.0 super diaphragm, Tecno Camon C9 also has Visidon Algorithm Brightness that produces 50% brighter images than average. Its Visidon Algorithm Noise Deduction clears up to 75% of the ‘noise’ in the dark leaving you with a very clear photo.
6.Bei nafuu.
iPhone 6 itakugharimu zaidi ya Tsh 1,400,000, Samsung S6 Edge nayo utaipata kwa bei hiyo hiyo, lakini Tecno C9 itakugharimu Tsh 440340(Dollar 200). Hivyo utaona ni kwa jinsi gani Tecno wamedhamiria kuboresha na kurahisisha maisha ya wengu barani Africa.
No comments:
Post a Comment