Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliweka picha ya mitego ikiwa na caption ‘N.U.D.I’ na hivyo kuwaweka njia panda mashabiki wake.


No comments:
Post a Comment