Winger mpya wa klabu ya Man Untd ‘Memphis Depay’ ameonekana akiwa karibu na aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ kwenye picha waliyopiga pamoja.
Picha hii imezua mapya kuwa kuna uwezekano K Tran akahusishwa kimapenzi na
kijana huyu mdogo mwenye pesa nyingi za soka. Wawili hawa walikutana Miami.
No comments:
Post a Comment