
Msanii wa bongo fleva Meninah La Diva, ambaye chimbuko lake
lilianza kuonekana natika shindando la kuinua vipaji Bongo Star Search
2013 .Stori zilizo zagaa kitaa kuwa diva huyo game limemshinda That why
yupo kimya sana katika game .Safu yetu ilipiga story na chanzo cha
karibu na Meninah kutaka kujau sababu gani iliyompelekea kukaa kimya .

”Meninah
game limemshinda kabisa baada ya kutoa ngoma yake ya Kaniganda , na
kupata mapokezi mabaya kutoka kwa mashabiki na wadau pia.Mwanzao
alivyokuwa anaanza kuingi katika game alikuwa nikati ya ma- diva
welionyesha uhodari wa hali ya juu na kupeleka kupata mashabiki wengi
,but kadri siku zilivyokuwa zinaenda niaisi aliewa sifa na kumfanya awe
anaharibu.Now game la bongo fleva hasa kwa upande wa watoto wa kike
kunaupinzani mkubwa sana so naisi na hilo limechangia ”.Source

upande wa Meninah bado hajatoa tamko lolote kuhusiana na tuhuma hizi.
No comments:
Post a Comment