
Huddah Monroe ni mwanamke anayetumia muda mwingi kusafiri katika nchi
mbalimbali na kula bata. Lakini kingine ambacho anakifanya mara kwa mara
ni kula uroda… mara tano, mara sita kwa siku?
Jibu analo mwenyewe lakini amekiri kuwa mwili wake umepungua sababu anavunja amri ya sita mara nyingi mno!
Mrembo huyo alipost picha ya kitambo na kuandika "
#TBT! I miss my
body like this ! Sema kukonda these past months? Been up and down like
an Athlete, paper chasin �� and maybe too much SEX??��..........Anyways ,
see you guys in Mombasa , Reef hotel BEACH party on Saturday . I won't
be posting all pics of events here apart from the OUTFITS . If you want
to see how the party is going down LIVE! . FOLLOW on snap chat -
#huddahmonroe . Thank you"
No comments:
Post a Comment