Wakiwa
na furaha huku wakiwa wamebeba tuzo zao mikononi mara baada ya tukio la
utolewaji tuzo hizo kuisha, staa wa Nigeria Davido akiwa na Diamond
ametoa ahadi ya collabo yao mpya.
Katika kipande cha video (hapo chini) Davido ametamka kwa kinywa chake:
“New
F*ckin Diamond and Davido we gonna dropin next month, we do this f*ckn
East Africa West Africa biggest artist we do this…we are uniting…”
Wakati Davido akiyaongea hayo, Diamond alikua akiitikia “I’m telling
you”.
Diamond
aliibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best Live Act’ na Davido naye aliibuka
mshindi wa tuzo kubwa ya Best male ambayo pia alishinda mwaka jana.
No comments:
Post a Comment