09 December, 2015

Quick Rocka athibitisha kuwa na uhusiano na Kajala

post-feature-imageMsanii wa Bongo fleva, Quick Rocka na muigizaji wa Bongo movie, Kajala Masanja hawakuwahi kuthibitisha wenyewe hadharani kuwa wana uhusiano wa kimapenzi licha ya kuwepo na tetesi kuwa ni wapenzi.Quick amejikuta akilazimika kukiri hadharani juu ya uhusiano wao alipokuwa akikanusha taarifa kuwa wameachana. 
Akizungumzia sababu za kuamua kutoyaweka wazi maisha ya uhusiano wao, Quick amesema;
Sometimes some things have to stay private maana mahusiano yanapokuwa public sana ndio maneno yanakuwa mengi so sometimes vitu ni better kuwa private kidogo ili kuwe na usisi ndani yake yeah we doing good…Maneno ya mtaani ni mengi ukweli wa ndani tunaujua wenyewe.” Alisema Quick Rocka kupitia Amplifaya ya Clouds Fm.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...