26 May, 2015

TAZAMA NDINGA ANALO ENDESHA SAMATTA

IMG_4680.JPGSamatta anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, anatajwa kuwa mmoja wa wachezaji watanzania wanaoingiza fedha nyingi kupitia soka – akiripotiwa kulipwa mshahara usiopungua $8000 kwa mwezi bila
kuongeza marupurupu. Mmoja ya wachezaji wa kitanzania wenye mafanikio katika soka nje ya mipaka ya Tanzania, Mbwana Samatta leo asubuhi ameposti picha ya gari lake jipya analotumia akiwa nchini Tanzania.Gari aliloposti Samatta ni Range Rover lenye rangi ya damu ya mzee ambalo lina namba za usajili za Tanzania na linakua gari la pili la thamani ambalo Samatta ameliweka hadharani baada ya mwaka 2013 kulionyesha gari lake aina ya Chrysler Crossfire ambalo lilikuwa na thamani ya takribani millioni 50 za kitanzania. Samatta alijiunga na TP Mazembe akitokea Simba SC kwa ada ya uhamisho iliyovunja rekodi kwa kipindi hicho ya $100,000.


Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV


No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...