Wamarekani weusi wamemshambulia rapa Jay Z kwa vijembe kuwa yeye ni mnafki baada ya kuona picha ya wafanyakazi wa kampuni yake ya TIDAL Kuwa wote ni weupe.Jay Z hivi karibuni alilalamika kuwa watu weusi hawampi ushirikiano na kampuni yake ya Tidal kama
wanavyofanya na kampuni nyingine kama Google, Itune [Apple] na Nike.
No comments:
Post a Comment