UTANGULIZI
MAWERE MTOKA MBALI Ni jina Iliopewa Mtandao/ blog hii, MAWERE MTOKA MBALI Ni jina lililo ambatana na MWANZILISHI MAWERE na MTOKA MBALI Ni jina la pili la mwanzilishi huyo. Ni mtandao ulio dhamiria kukupatia Habari za MICHEZO NA BURUDANI, SIASA, AFYA, MAISHA, UREMBO, WASANII
KANUNI NA SHERIA.
KANUNI NA SHERIA.
Blogu/Tovuti
hii niyakijamii hivyo inaendeshwa na taratibu na kanuni ambazo hazita sababisha
kumkwaza mtu kwa namna moja au nyingine isiyo ya kustahiki.
- · Blogu haiweki taarifa yeyote ya uongo, uzushi au ambazo sio za uhakika ili tu kupata wasomaji wengi au kufanya ushabiki wakitu/jambo Fulani. Habari zote ambazo zitakuwa zimewekwa kwenye blogu hii zitakuwa zimefuatiliwa kwa kina na kuhakikiwa kuwa zina ukweli ndani yake ndipo zitawekwa kwaajili ya msomaji kuisoma habari hiyo.
- · Blogu haitoweka taarifa ya uchochezi wa aina yeyote ile ili kusababisha kupoteza Amani kwa jamii Fulani. Habari ambazo zitasababisha uchochezi wa Siasa, Dini, Jamii, Jinsia na au Rika nakusababisha fujo blogu hii haitakuwa tayari kuiweka habari hiyo.
- · Blogu hii haijuhusishi na ubaguzi wa Vyama, Dini, Jinsia, Kabila, Rika au Hali (Ulemavu wa aina yeyote ile). Hivyo taarifa inayo wekwa kwenye tovuti hii itasimamia upande wowote ule ni ilimradi kugusa jamii nakuifanya jamii nzima ifahamu ukweli wa mambo na kusaidia kusonga mbele ki fikra na uchumi.
- · Masuala yote ya uzalilishaji wa Kijinsia na au Kitamaduni blogu hii haitajihusisha na kufanya hivyo bali huonya na kukemea masuala la unyanyasaji na uonevu kwa jamii nzima ili kuweka usawa na Amani kwa kila mmoja wetu anaye tuzunguka.
- · Hati miliki ya kazi ya mtu, Blogu/Tovuti hii inalinda haki miliki ya kazi binafsi na au ya kundi flani. Hivyo hatujihusishi na kuweka kazi isiyo kuwa sahihi kuwekwa hadharani au kutumiwa na jamii nzima. Mfano Ku pakuwa (Download) kwazi ya msanii bila kibali chake, Kuweka nakala ya kitabu bila idhaa ya mtunzi, Kuweka habari kutoka kwenye Blogu/Tovuti nyingine bila ya kuweka hati miliki yake. Tunaheshimu kazi ya mtu au kundi ili nasisi tuheshimiwe kwenye kazi yetu.
- · Lugha ya nidhamu ndio inayo tumika kwenye uandishi wa taarifa yoyote kwenye blogu hii. Lugha ikiwa ni Kiswahili na Kingereza pale inapo bidi. Matusi na au Keleli hazitawekwa kwenye blogu hii. Pia kama msomaji akiacha maoni (comment) yenye matusi kwenye moja ya habari pale tutakapo gundua mapema tutaiondoa ili kutunza ustaarabu.
Tutumie email: mtokambali2015@gmail.com
Sim namba 0767322193
KARIBU MTOKA MBALI UPATE HABARI
No comments:
Post a Comment