Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
25 May, 2015
PICHA PAMOJA NA VIDEO JINSI MABINGWA CHELSEA WALIVYO SHEREKEA UBINGWA WAO JANA
Klabu ya Chelsea jana walikuwa na kibarua cha kuikamilisha ratiba ya mechi zao kwenye ligi Kuu ya Uingereza, Barclays Premier League.. kwenye mchezo huo walikuwa wakibanana na Klabu ya Sunderland ambapo filimbi ya dakika 90 kukamilika ilipulizwa huku Chelsea ikiongoza kwa ushindi wa goli 3-1.Chelsea imemaliza kibarua hicho kwa kufanikiwa kufikisha jumla ya points 87, nafasi ya pili wako Man City wenye points 79 huku Arsenalwakifuatia kwa points 75. Kuna pichaz na video mwanzo mpaka mwisho wakati Chelsea wakikabidhiwa ushindi wao pale Stamford Bridge.
Didier Drogba na wachezaji wenzake wa Chelsea wakiingia uwanja wa Stamford Bridge jana May 24 2015 katika mechi yao ya kukamilisha ratiba ya Ligi kuu ya Uingereza.
Golikipa wa Chelsea, Petr Cechakipeana mkono na Kocha wao Jose Mourinho
Mourinho alikuwa na furaha yake kabla hata mechi haijaanza.. Kamkumbatia Drogbahapo !!
Kocha Jose Mourinho na medali yake
Hapa kuna kipande cha video wanavyolipokea Kombe lao>>>>>
NI HAPA HAPA MTOKA MBALI, ENDELEA KUTUFUATILIA KATIKA PAGE YETU YA
FACEBOOK: Mawere MtokaMbali,TWITTER:@mawere3,INSTAGRAM:
MAWERE_MTOKI_MBALI, SUCRIBE YOUTUBE:MAWERE TV. AKSANTE NA ENDELEA KUTEMBELEA
MTOKA MBALI.
No comments:
Post a Comment