Nicki Minaj na rapa Meek Mil waliteka blogs April mwaka huu baada ya Nicki kuonyesha pete aliyopewa na Meek Mil huku watu wakipigia mstari kuwa ni wachumba na ndoa inafungwa muda wowote. Kwenye mahojiano na mtandao wa Fader rapa Meek Mil amethibitisha kuwa
Yeye na Nicki Minaj sio wachumba na kwamba hawajafikiria kabisa swala la harusi. Meek alisema “Bado tunasomana kwanza ,ni mapema mno kufunga harusi “.
No comments:
Post a Comment