Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
29 May, 2015
Ni Diamond Platnumz tena NANA akiwemo flavor
Ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka NigeriaMr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako.
BONYEZA PLAY>>>>>>>
No comments:
Post a Comment