May 24 couple ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West walitimiza mwaka mmoja wa ndoa yao tangu walipofunga mwaka jana huko Italy.
Wawili hao walitumia nafasi hiyo kuweka kwenye mitandao picha mbalimbali za harusi yao.Mbali ya picha hiyo Kanye West leo aliamua kuweka ujumbe mzuri kwenye mtandao wa Twitter ambao ulikua maalum kwa ajili ya mkewe pamoja na mwanaye North West.
Ujumbe ulisomeka hivi..
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV
No comments:
Post a Comment