28 May, 2015

LEO MBUNGE WA VUNJO AUGUSTIN MREMA KANENA HAYA BUNGENI KWA WALE WANAOSEMA KWAMBA WAMEMWONDOA KATIKA CHAMA

 Image result for Mrema
Moja ya stori iliyowahi kuwandikwa na Magazeti ya TZ wiki chache zilizopita ilikuwa na headline kuhusu ishu ya Ripoti ya Ukweli na Maridhiano ya TLP kutangaza kwamba imemsimamisha uanachama Mwenyekiti wa Chama hicho, Augustino Mrema ambae pia ni Mbunge wa Vunjo.. leo aka
pewa dakika zake chache kuwasha kipaza sauti ndani ya jengo la Bunge Dodoma.
Wale wahuni waliotangaza wamening’oa TLP na kwamba mimi sio mwanachama wa TLP wala Mbunge wa Vunjo, naomba waandike wameumia”>>> Augustino Mrema.
Mimi ndio Mbunge halali wa Vunjo ndoa hang’olewi mtu kule kwa greda wala katapila wala kwa winchi…” >>> Augustino Mrema.
Iko hapa sauti ya Mrema mwenyewe akiongea hayo Bungeni Dodoma leo.



Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...