24 June, 2015

Entertainment Baada ya kuwabwaga MTN Wiz Kid achukua dili kubwa zaidi.

wizkid
Wiki chache baada ya kukataa mkataba wa kampui kubwa ya simu Nigeria ‘MTN’ Star Boy Wiz Kid amethibitisha kuwa ameingia mkataba na wapinzani wa kampuni hio ambao ni Globacom ‘Glo’. Wiz Kid ametangaza rasmi kuwa yeyeni balozi wa  Glo “ProudGloAmbassador”
Kwenye Mkataba huo Wiz atalipwa pesa za Nigeria Naira milioni 100. Wiz atafikisha miaka 25 hivi karibuni.wiz k 2

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...