22 June, 2015

Avril katoa video yake mpya ya wimbo aliofanya na Rabbit ‘Ninaweza’.Itazame hapa

avrilKwa mara nyingine mawana dada Kutoka Kenya Avril katoa video yake mpya ya wimbo aliofanya na Rabbit, wimbo umepewa jina Ninaweza. Video imetayarishwa na Sync. Pata kuutazama hapa hapa MTOKA MBALI bonyeza PLAY kuitizama video hiyo>>>>


Kwa habari za burudani na nyingine nyingi ni hapa hapa MAWERE MTOKA MBALI, tufuatilie FB, TWITTER,INSTA

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...