Sio jambo linalotokea kila siku kuona rapa Kendrick Lamar kusifia wasanii wenzake.
Kendrick Lamar amewasifia wasanii Lil B na Lil Wayne kwa kuwa washawishi bora wa jinsi wasanii wanavyotakiwa kufanya kwenye video, mavazi, muonekano, kucheza na swagg za video kali.
No comments:
Post a Comment