
mcheza filamu Beyoncé akashiriki na yeye kwenye filamu hiyo, Hii ni kwamujibu wa The Daily Star.
Milikiwa wa Marvel na Disney wanaaamini kuwa watapata mkwanja wa kutosha endapo watamuweka acheze pamoja na Scarlett Johansson na Elizabeth Olsen.

Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa Beyoncé kushiriki kwenye filamu, Staa huyu alisha cheza movie ya Dreamgirls, Austin Powers in Goldmember, The Pink Panther na Cadillac Records na alisha shinda tajwa kwenye tuzo za Golden Globe kutokana na filamu ya Dreamgirls.
Hivi karibuni Beyoncé amehamia Los Angeles yeye pamoja na Jay Z kwahiyo tunaweza kutarajia kumuona kwenye filamu nyingi zaidi.
No comments:
Post a Comment