22 June, 2015

Wasanii wawili wakubwa kujitoa Young Money.

DrakeRapa Lil Wayne amefunguka kuwa uongozi wa Birdman na kampuni yake ni mbovu na sasa wasanii wakubwa wawili wanataka kujitoa kwenye lebel hio.Wasanii hao ni
Nicki Minaj na Drake  wanaokaribia kujitoa Young Money sababu ya ubadhilifu wa pesa unaofanywa na Birdmen.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...