Kenya imeng'ara tena baada ya
mwanariadha wake Faith Kipyegon kunyakua dhahabu ya tatu kwa ajili ya
Kenya katika mbio za mita 1500 wanawake.
Leo baadaye pia tunategemea kuwaona tena wakenya Kipruto Conseslas, Ezekiel Kemboi na Brimin Kiprop pamoja na Jacob Araptany kutoka Uganda wakishiriki mbio za mita 3000 za kuruka maji na vihunzi.
No comments:
Post a Comment