Arsenal haikuwa na mda wa kuwaanda
wachezaji wake baada ya michuano ya Euro2016 na hawakuwa na uzoefu
katika mechi walioshindwa na Liverpool kwa mabao 4-3 kulingana na
mkufunzi Arsene Wenger.
Baadhi ya wachezaji waliorudi walikuwa hawako tayari,alisema Wenger ambaye alizomwa na mashabiki katika uwanja wa Emorates.
''Tulilazimika kuadhibiwa.Ni hali ambayo lazima uadhibiwe''
No comments:
Post a Comment