Kutoka pande za Mwanza anakwenda kwa jina la Young Killer na safarii hii katuletea kitu kipya kabisa, ni ngoma iliyo pewa jila Mtafuji ambapo ngoma hiyo imeandaliwa na Producer T-Touch. Humu ndani bhana jamaa kaimba doh! Tusimalize uhondo. Bofya hapo chin kuupakua wimbo huo.
No comments:
Post a Comment