17 August, 2016

Cash Money yakamilisha mkataba wake na Apple Music

Drake and Birdman Cash Money wamesaini mkataba mpya wa kwanza kwa mwaka huu na kampuni ya Apple Music. Kampuni ya Apple Music mwamzoni mwanzoni ilikua ikionekana kusimamia kazi za msanii mmoja mmoja ila kwa sasa wamejiongeza nakuanza kusimamia kazi za lebo tofauti tofauti.
Taarifa hizi zimeonekana katika a/c ya Instagram yake Kiongozi wa Kundi la Cash Money Birdman.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...