17 August, 2016

Rapper Meek Mill kuachia Mixtape yake mpya Mwezi ujao.

Meek Mill Yawezekana hii ikawa ni taarifa nzuri kwa mashabiki wa rapper huyu kutoka pande za Marekani, kwamba Meek Mill amepanga kuachia mixtape yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘DC4’. Ikumbukwe kwamba ni mwezi uliopita tuu Producer wa project hiyo Jahlil Beats alinukuliwa akisema kwamba mzigo huo umekamilika hivyo muda wowote utashushwa ila mpaka sasa bado wadau wana kiu yakungoja mzigo huo.

Taarifa hizi zimeonekana katika mtandao wa Periscope ambapo member mmoja wa Dreamchasers Chino. Alinukuliwa akisema kwamba Mixtape hiyo itadrop soon mwezi ujao. Hapa hivyo Mwenyewe Meek Mill alitoa alert kwa istagram a/c yake kama inavyo-onekana hapo chini.
A video posted by MeekMill NewsπŸ”₯πŸ—ž (@meekmillnews) on

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...