19 June, 2015

Hit song ya Vanessa Mdee “Nobody But Me” yachkua namba 1 huko bonden kw mzee madiba.

Vee Money
Good news  Mtu wetu Vanessa Mdee anazidi kufanya vizuri katika chati za radio countdown kwenye baadhi ya nchi za Africa, na leo hit song ya Vanessa Mdee Nobody but me aliomshirikisha msanii kutoka South Africa K.O imeshika namba moja katika countdown ya Africa Boom Box ya Y.Fm radio iliyoko South Africa. 

Vanessa Mdee anatarajia katajwa kutuwakilisha TZ kwenye category ya Best Female Artist katika tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 ambazo tutazishuhudia muda si mrefu live kutoka South Africa.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...