16 June, 2015

Wakati tunaisubiri Video Yamoto Band kutoka South Africa, unaweza kuicheki hii video yao nyingine.. ‘Nisambazie Raha’

Yamoto Band New
Jana nilikusogezea story kwamba Yamoto Band wamepanda ndege Dar kuelekea South Africa ambako watafanya video yao ya wimbo wa ‘Cheza Kwa Madoido‘ na Director mkubwa Africa, Godfather.
Nimekutana na hii video yao waliyoiachia siku chache zilizopita, wimbo unaitwa
Nisambazie Raha‘, nimeisogeza hapa karibu na wewe unaweza kuicheki kwa kubonyeza play.


Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...