16 June, 2015

Ratiba ya ligi kuu England msimu wa 2015/2016 itatangazwa kesho asubuhi

290A8A7200000578-0-image-a-15_1434458235264
Timu kubwa za EPL, Chelsea, Manchester City, Arsenal, Manchester United, Liverpool zinasubiri kwa hamu kuona kama zitaanza na mechi ngumu au rahisi.
Timu mpya zilizopanda ligi kuu, Bournemouth, Watford na  Norwich pia zina presha kubwa ya kuanza na miamba ya EPL.
Timu zilizoshuka daraja,  Queens Park Rangers, Burnley na Hull zitajua namna ya kuanza ligi ya  Championship.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...