14 June, 2015

KAMA ULIKOSA KUTAZAMA SHOW YA KTMA 2015 HII HAPA

Hatimae tuzo za KTMA 2015 zilimalizika na waShindi wa tuzo hizo kupatikana kutokana na kura zilizopigwa na wapenzi wa muziki Tanzania. Hongera ziende kwake ALIKIBA kwa kuchukua tuzo TANO, JOH MAKIN na waShindi wengine wote na hivi ndivo mambo yalivyokua>>>>>>>
BIG UPO BARAKA DA PRINCE ZAMU YA OMI DIMPOZ WIMBO BORA WA ZOUK WIMBO BORA WA AFRO POP BARNABA KWA JUKWAAAA ZAMU YA BEN PAULO KA JUKWAA

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...