11 June, 2016

Movie: Warcraft

click for larger (if applicable)    
The peaceful realm of Azeroth stands on the brink of war as its civilization faces a fearsome race of invaders: Orc warriors fleeing their dying home to colonize another.  As a portal opens to connect the two worlds, one army faces destruction and the other faces extinction.  From opposing sides, two heroes are set on a collision course that will decide the fate of their family, their people and their home.

Video: Best Nasso – Ukweli uko Wapi?

Best Nasso moja kati ya wasanii wa bongo flava wanao zidi kufanya powa katika game la bongo flava, leo katuletea brand new Video inayo kwenda kwa jina la Ukweli Uko Wapi, ngoma ambayo imefanyiwa production na Mahwea Recods, huku Video ikisimamiwa na Kenny Ukiyz.

NEW VIDEO:”Ipo siku”,Goodluck Gozbert.

Goodluck Gozbert ni moja kati ya Watunzi na waandaji wa muziki wenye vipaji vya hali ya juu mno. Wengi Tumekuwa tukimfahamu kupitia kazi tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na Kuandika baadhi ya nyimbo wasanii kama vile Mo-Music, Baraka da.Prince pamoja na wasanii wengine.
Loli mwaa
Goodluck Gozbert
Katika Bongo Flava Tunamfahamu kama Loly Pop ila katika Gospel tunamtaja kama Goodluck Gozbert, na  hapa katuletea video yake mpya inayokwenda kwa jina la "Ipo siku", video iliyofanywa na Adam Juma wa Vissual Lab.
Huu ni moja kati ya wimbo unaogusa na kuwapa tumaini tulio wengi, ambao hali zetu za kiuchumi, kielimu, maisha kwa ujumla wake ziko chini. Naweza sema kwamba hata mimi nmeguswa na wimbo huu. Angalia Video hiiyo hapo chini kisha mshirikishe Rafiki, ndugu na wapenzi.

Video: Jike Shupa – Nuh Mziwanda Ft Ali Kiba

Baada ya kuchalia Audio week chache zilizopita na kupokelewa vyema katika familia ya bongo flava, basi hii ndiyo video ya Jike Shupa kutoka kwa Nuh Mziwanda akiwa amemsha vyema Alikiba. Producer wa wimbo ni Mr T Touch na Video ikifanywa Kwetu Studio.

10 June, 2016

Chid Benz Karudi Gym kuweka Body Sawa.

Hatiye Rapper Chid Benz(Chumaa) karudi Gym ili kuuweka mwili wake sawa na kuweka Body lake kurudi katika hali yake kama ilivyo kuwa hapo awali. Hii inakuja mara baada ya Rapper huyo kutoka Sober House huko Bagamoy siku chache zilizo pita.

#LETS DOIT HOMIE.chidi benz

Video: Sophia Grace-"Girl In the Mirror"

Sophia Grace, 13, Releases New Music Video for "Girl In the Mirror"
 Unawakumbuka hawa? Hapana shaka utakua unawakumbuka hawa mabinti... Sophia Grace na Binamu yake Rosie McClelland ambao walikuwa kivutio kikubwa katika Show ya "The Ellen DeGeneres Show." kwa kuonyesha uwezo mkubwa  wa Kurap ngoma nyingi za NiCk Minaj na ilitokana na mabinti hao kuvutiwa kweli kweli na Muzik wa Nick Minaj.

Imepita miaka mitano(5) sasa, tangu kuonekana katika show hiyo. Sophia Grace naye ana umri wa mika 13 kwa sasa ana anafanya Muziki wake, na Safari hii kaja na Ngoma mpya "Girl In the Mirror" aliyo mshirikisha Silento (yule wa "Watch Me (Whip/Nae Nae)"

   TIZAMA VIEO HIYO HAPO CHINI "Girl In the Mirror"

Floyd Mayweather Afurahishwa na Kitendo cha Justine Beiber Kupigana.

http://justrichest.com/wp-content/uploads/Floyd-Mayweather-2.jpg Bondia Floyd Mayweather amefurahishwa na kitendo cha Justine Beiber kupigana katiga moja ya vurugu siku ya juma tano usiku katika ukumbi wa Cleveland huko Marekani. Akiongea na TMZ, Mayweather alisema "He showed he ain't no bitch."

Kwa muda mrefu sasa Justine Beiber amekuwa akifanya zoezi na Mabondia maarufu, lakini Mayweather amesema .. Katika mapigano hayo yeye alifurahishwa kwamba JB alionyesha kuwa na Moyo na sio kiwango chake.. "He showed he got heart."-Alisema.

Mayweather alisema kwamba, hafahamu ni kwa nini JB aliingia katika Vurugu hizo lakini the lesson is clear ... "Justin Bieber ain't no bitch."  

 TIZAMA KIPANDE HICHO KINACHO ONYESHA JB AKITWANGANA

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...